Goli la kwanza la timu ya England dhidi ya Italy likifungwa na mshambuliaji wa timu ya England Daniel Sturridge
Mario Baloteli akipigilia msumari wa mwisho kwa timu ya taifa ya England na kufanya mechi kuisha kwa Italy kuwa na goli 2-1 dhidi ya England.
Msichana mrembo Fanny Neguesha ambaye ni mpenzi wa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Italy Mario Baloteli akishangilia bao la ushindi la Italy dhidi ya England usiku wa kuamkia leo,bao hilo lilifungwa na kipenzi chake Baloteli
0 Comments