Hello Watu wangu.
Wapenzi na mashabiki wa Maganga One Blog tumekuwa na kigugumizi cha hapa na pale kwenye mtandao wetu na hii inatokana na marekebisho yanayojaribiwa na mafundi mitambo wa mtandao huu.

Uongozi wa Maganga One unaomba radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza kwa kipindi hiki cha marekebisho.Ni matumaini yetu kwamba tutakuwa tumeeleweka.tunashukuru kwa kuwa nasi bega kwa bega kwa kutaka kujua yanayojiri mtandaoni.
                                                         Uongozi.