Kikosi cha Mol all stars ambacho jana kilipokea kichapo cha goli 6-1 uwanja wa nyumbani Mol
Timu ya Mol na Antwerpen wakipata picha ya pamoja kabla ya mpambano kuanza..mechi ilikuwa nzuri na Antwerpen walichezea vyema uwanja wa ugenini.hii ilikuwa mechi ya kupimana nguvu mzunguko wa kwanza,mzunguko wapili utarudiwa tena wiki mbili baadae uwanja huohuo.

Team ya Antwerpen inategemewa kujitupa tena uwanjani kupambana na Ooostende wiki ijayo..vijana wa Antwerpen wapo imara na wameahidi kutoa dozi nyingine kwa vijana wa Oostende.