Mfungaji wa bao la pili kwa timu ya taifa ya Ufaransa Matuidi mwenye jezi nambari 14 akishangili bao lake pamoja na wachezaji wenzake hapo jana baada ya kufanikiwa kuwafunga Uswizi goli 5-2
Mshambuliaji mahiri wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzima akiandika bao la tatu kati ya matano walioshinda hapo jana.Ufaransa ilishinda 5-2 dhidi ya Uswizi.
0 Comments