Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe 92  kutoka  jimbo la Ludewa mkoani Njombe ambao ni  wenyeviti kata na makatibu kata wa CCM  kutoka kata zote 25 za  jimbo la  Ludewa na viongozi  wa  wilaya wa chama hicho ambao  leo Juni 16, 2014 wanahitimisha  ziara  ya  siku nne ya mafunzo mjini  Dodoma na Dar es Salaam. Wajumbe hao pamoja na Mbunge wa jimbo la Ludewa Mhe Deo Filikunjombe walifika Ikulu kumtembelea Rais.
(Picha na Ikulu)