Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Algeria Islam Slimani akiifungia goli la kusawazisha timu yake ya taifa na kufanya goli lake liwe muhimu kwa timu yake kwa kusonga kuingia mzunguko wa pili katika kinyang'anyiro cha kugombea kombe la dunia nchini Brazil.
Mchezaji wa timu ya Urusi Alexander Kokorin akishangilia ushindi wa goli lake baada ya kufunga goli kwa timu ya dhidi ya Algeria..mpaka mwisho timu hizo zilitoka sare ya 1-1