Miss Holland 2014-2015 bidada Twaiba akiwasili ukumbini huku akiwa amevalia mavazi ya kitaifa ya nchi ya Uholanzi

 Mambo ya mapochopocho huku kila mmoja akiwa amevalia nguo za Orange

 Wasichana watanashati wakiwa tayari kuwahudumia wageni wote walioalikwa kwenye tafrija ya Miss Orange Holland bidada Twaiba
Dj's wakiwa kazini nao pia walipiga nguo za Orange,Hongera zake bidada Twaiba kwa kazi nzuri
Bidada Twaiba akiwa na mama yake wa ukweli
Show kabambe iliyofurahisha wageni waalikwa ukumbini
Show ikipamba moto,yani raha mpaka basi
Timu nzima ya bidada Twaiba ikisubiri kufanya mavituzi
Bidada Rabia Nyembo akiwa ameketi kusubiria kusherehesha sherehe ya bidada Twaiba
Afro Holland wakiwa wameshikilia zawadi zao toka kwa bidada Twaiba
Keki ikiwekwa mezani tayari kwa kuliwa,kiukweli kila kitu kilikuwa Orange na kila mmoja alipendeza

Like Mother Like Daughter.....Mambo ya mama na mwana hayoo....