Mlinzi wa timu ya taifa ya Australia Mile Jedinak akijaribu kumzuia mshambuliaji wa timu ya taifa ya Spain Andres Iniesta
katika kinyang'anyiro cha kugombea kombe la dunia huko Brazil..mpaka mwisho wa mchezo Spain 3-0 Australia