Mchezaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji Moussa Dembele akijaribu kumtoka mchezaji wa timu ya taifa ya kurea ya kusini Koo Ja -Cheol katika mashindano ya kombe la dunia yanayoendelea nchini Brazil.Ubelgiji ilishinda kwa 1-0.