Beki wa timu ya taifa ya Uholanzi Wensley Sneijder akiachia shuti kali kunako dakika ya 88 na kuandika bao la kusawazisha kwa timu yake dhidi ya Mexico

Jan Huntelaar wa mbele kushoto akisindikizwa na wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Uholanzi baada ya kupachika bao la pili kwanjia ya penati dhidi ya timu ya taifa ya Mexico.Mpaka mwisho wa mchezo Uholanzi ilitoka uwanjani kifua mbele baada ya kuwashinda Mexico kwa bao 2-1