Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Abdallah Omari Kigoda akiweka sahihi Hati ya Ushirikiano wa Kimaendeleo kati ya Tanzania na Jumuiya ya Ulaya yenye thamani ya Euro 626 milioni zitakazotelewa katika kipindi cha miaka Sita 2014-2020. Hati hii imesainiwa Nairobi Kenya. Anayeshuhudia ni Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala. |
0 Comments