Mshambuliaji machachari wa timu ya taifa ya Argentina  Lione Messi akijaribu kumtoka mlinzi wa timu ya taifa ya Uholanzi Vlaar bila mafanikio.Argentina imefanikiwa kuingia fainali kwa kuifunga Uholanza kwa jumla ya goli 4-2