Golikipa wa timu ya taifa ya Algeria akijaribu kuokoa moja ya hatari langoni mwake,huku mchezaji wa taifa ya Ujerumani akiunyemelea mpira