Karlsruhe,Ujerumani, 

Bendi ya muziki imelazimika kupambana jino kwa jino na washabiki wa Summer Festival Karlsruhe,siku ya jumamosi 5 Julai 2014. ambapo onyesho hilo limeingiliana
na mwezi mtukufu wa Ramadhani. Baada ya mabishano makali kati ya uongozi wa bendi hiyo maarufu na watayarishaji wa onyesho hilo,sasa wamekubaliana onyesho lifanyike jumamosi 5.Julai 2014 Usiku.
Ngoma Africa band walimwambia mtayarishaji wa onyesho kuwa bendi haiwezikufanya show mchana kwa kuwa baadhi ya wanamuziki wanafunga swaumu.
Promoter kakubali kubadili muda onyesho lifanyike usiku, na FFU hao wa Ngoma Africa band lazima wapande jukwaani