Kama kawaida yao gwaride mtindo moja !
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU -Ughaibuni ukipenda waite viumbe wa ajabu Anunnaki Alien au "watoto wa Mbwa", usiku wa jumamosi ya 5- Julai 2014 walilitingisha onyesho la SUMMER FESTIVAL mjini Karlsruhe,Ujerumani.katika kipindi hiki cha msimu wa joto maonyesho mengi ya wazi yamekuwa yakitingishwa na vikundi na bendi za muziki za Tanzania.
wasikilize FFU ughaibuni at www.ngoma-africa.com        wape shavu atwww.facebook.com/ngomaafricaband