Mcheza sinema wa kimataifa ambaye ni mkazi wa Amsterdam nchini Uholanzi anajulikana kwa umaarufu wa  jina la Golden Queen au unaweza kumuita Anti Jemmy akiwa kijijini kwao Sungwi ambapo kwa sasa yupo likizo

 Raha ya nyumbani ni kupata kitu Orijino...Mwanamama Golden Queen akichukulia chenza fresh toka juu ya mti..anakwambia mambo yote ni Sungwi japo kawamisi sana watu wake wa jiji la maraha Amsterdam..