Mchezaji chipukizi wa timu ya taifa ya Ubelgiji Kevin De Bruyne akiifungia timu yake goli la kuongeza dhidi ya Marekani na kuandika 1-0

Wachezaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji wakishangilia pamoja kumpongeza Keven De Bruyne kwa kupachika bao kimiyani

Romeo Lukaku kulia akishangilia bao lake la ushindi dhidi ya Marekani na wachezaji wenzake baada ya kuifungasha virago timu ya taifa ya Marekani kwa bao 2-1