Timu ya taifa ya Uholanzi ikipata picha ya pamoja huku wakionyesha medali zao baada ya ushindi dhidi ya timu ya taifa ya Brazil hapo jana.
Uholanzi imebahatika kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya kombe la dunia kwa mwaka 2014
Robin Van Persie akiachia shuti kali kwa njia ya penati na kuandika bao la kwanza kwa timu yake dhidi ya Brazil hapo jana,mpaka mwisho Brazil 0-3 Uholanzi