Mwenyekitiwa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete akimkaribisha Mgombea wa Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya chama
cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi

katika Ikulu ya Tanga ambapo
walifanya mazungumzo.

Mgombeawa Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi
akimsalimia Mzee Said Mbaruku wa Tanga wakati alipomtembelea Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye 
mazungumzo na Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO
Mheshimiwa Filipe Nyusi,Ikulu mjini Tanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi
pamoja na Mbunge wa Tanga Mjini Mheshimiwa Omar Nundu nje ya Ikulu mjini
Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea wa Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Mheshimiwa Filipe Nyusi wakiwa kwenye
picha ya pamoja Ikulu Ndogo mjini Tanga,

wengine katika picha ni Komredi
Oscar Monteiro,Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,Mbunge wa
tanga mjini Mh.Omar Nundu ,WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika na Viongozi wengine kutoka Msumbiji.