Picha hii imepigwa majira ya saa tatu na nusu usiku.angalia angani bado kweupe kabisa,kwa wanaofunga mfungo wa Ramadhani baadhi ya nchi za ulaya futari wanaanza kula saa nne za usiku.Picha imenaswa nchini Ubelgiji na camera ya M.One.