Iraq hudu enzi za uhai wake.
Ndugu wanajumuiya, mabibi na mabwana
Familia ya marehemu (Bondia)  Iraki Hudu,inapenda kuwajulisha maadhimisho ya arobaini ya marehemu Iraq Hudu itayofanyika siku ya 19 Julai 2014 Shughuli hii itafanyika jioni
wakati kufutari nyumbani kwa marehem huko Buguruni ,Rozana,Dar-es-salaam .

Shughuli hii ya arobaini kwa kuwa imengia katika mwezi mtukufu wa mfungo wa Ramadhan,familia ya marehem imeamua kutimiza shughuli hii kwa kufuturisha na
kisomo.

 Kwa heshima na taazima tunawaomba ndugu na jamaaa wote kushiriki katika shughuli hii. Marehemu Iraq, alitutoka tarehe 13.Juni 2014na kuzikwa siku ya 14.Juni 2014 Hivyo hatunabudi kutekeleza wito huu wa kuadhimisha siku ya kisomo chake. Kwa maelezo na habari zaidi, unaweza kuwasiliana na ndugu (Mtoto) wa marehemu kupitia simu hii 0717795070  kwa wanaopiga kutoka nje ya nchi +255 717795070
Asanteni sana.
Wenu, mwakilishi wa familia ya marehemu  Dani Huddu.

Bondia Iraq Hudu kulia enzi za uhai wake  akiwa na kijana wake siku ya mahafari kwa kijana wake
Marehemu Iraq Hudu enzi za uhai wake  akiwapa mafunzo baadhi ya mabondia chipukizi