Wachezaji wa timu ya taifa ya Uholanzi wakishangilia ushindi wao baada ya kuwafunga Costa Rica kwa penati 4-3 baada muda wa dakika 90 kumalizika bila ya kufungana.dk 120 zilipoongezwa pia walitoka saresare na ndipo uamuzi wa matuta ulishika nafasi yake.Hongereni waholanzi kwa ushindi huu wa furaha.