Mabingwa wapya wa kombe la dunia kwa mwaka 2014  timu ya taifa ya Ujerumani ikishangilia ushindi wao baada ya kukabidhiwa kombe.
Ujerumani imelinyakuwa kombe hilo baada ya kuifunga timu ya taifa ya Argentina katika mchezo wa fainali uliochezwa mjini Rio de janeiro nchini Brazil.
Mfungaji wa bao pekee kwa timu ya taifa ya  Ujerumani Gotze akiipatia timu yake bao la ushindi dhidi ya Argentina na kufanya Ujerumani kuunyakuwa ubingwa wa dunia kwa mwaka 2014
Mchezaji wa Argentina akiwa hoi baada ya kupokea kichapo cha goli moja dhidi ya Ujerumani.