Wachezaji wa timu ya taifa ya Brazil wakishangilia bao la pili na la ushindi dhidi ya Colombia..mpaka mwisho Brazil 2-1 Colombia.