Mabondia hao wakikumbatiana wakati wa pambaono lao lililomalizika kwa Mada Maugo kuibuka kidedea.

Bondia Thomas Mashali (kushoto) akikabiliana na Mada Maugo kwenye Tamasha la Matumaini 2014.