Kikosi tishio cha Mol All Stars.
Timu kali ambayo inaogopeka nchini Ubelgiji na vitongoji vyake ya Mol All Stars  jumamosi hii inaikaribisha timu ya Antwerpen Fc katika uwanja wake wa nyumbani kwenye mechi ya marudio.Mashabiki na wakazi wa Ubelgiji mnaombwa kushuhudi mechi hii kali ya marudiano yenye msisimko mkali.Mechi itachezwa jumamosi saa kumi na nusu jioni...wachezaji wanaombwa kufika uwanjani saa tisa kamili ili kukamilisha taratibu za uwanjani.