Fatoe Djumapili enzi za uhai wake.
----------------------------------------
TANGAZO LA MSIBA UBELGIJI
Tunapenda kuwatangazia kwamba ndugu yetu kipenzi Fatoe (Fatuma) Djumapili ambaye kwa sasa ni marehemu,alitangulia mbele ya haki siku ya jumamosi katika hospitali ya Geel iliyopo nje kidogo ya jiji la Brussel.
Mazishi yatafanyika leo Jumanne ya tarehe 26/08/2014 baada ya sala ya adhuhur katika makaburi ya Geel (saa nane mchana).Jinsi ya kufika kwenye maziko,tunaomba kwa yoyote ambaye hapafahamu kwa Mzee Bales (Mzee Mzungu) awasiliane nae kwa simu hii +32 492 40 15 13 au Namba hii 
+32 492 50 14 53
(Mama Sarah).

Tunaomba kwa yoyote atakayeliona tangazo hili amtaarifu na mwenzake.