Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo.
 Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)
Umati wa wakazi wa mji wa Himo wakisiliza kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa katika mkutano wa hadhara wa Mh James Mbatia aliofanya katika uwanja wa Ghalani.