Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 3-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Kennedy Opiyo katika chezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika jana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0.
 Ramadhani Singano 'Messi' akichuana na beki wa Gor Mahia ya Kenya.
Golikipa wa Gor Mahia, Fredrick Onyango akiokoa moja ya hatari langoni mwake.