![]() |
Stori: Richard Bukos Imebumburuka kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’ kumbe anateseka na penzi la mwandani wake, Beautiful Onyinye Wema Isaac Sepetu, Amani lina mkanda kamili.ATOKANAYO
Kwa muda mrefu kumekuwa na madai kuwa, Diamond amekuwa akiumia na kuvumilia anapoitwa majina mabaya huku akisemekana hamuwezi Wema hivyo awaachie mapedeshee wenye ‘kisu’ kirefu.
“Hivi unajua kwa nini DIAMOND
TUJIUNGE KWENYE BETHIDEI YA DIAMOND
Sasa ndani ya pati ya bethidei ya DIAMOND
DIAMOND
Baada ya wageni waalikwa kutangaziwa kuwa kuna zawadi maalum ya jamaa huyo, watu waliombwa kutoka nje kuelekea eneo la maegesho ya magari (parking) ili kushuhudia makabidhiano hayo.
Hapo ndipo DIAMOND
Wakati wakitembea mdogomdogo kama maharusi, DIAMOND
Kuna wakati DIAMOND
“Ebwana Chibu mbona anamfunua Madam upaja unaonekana? Au anaturingishia ili tujue anakaa pazuri?” alisikika mmoja wa wanaume hao bila kufafanua kukaa pazuri alimaanisha nini.
WEMA ACHEKELEA, ATEMBEA POLEPOLE
Wakati DIAMOND
Hadi wanafika kwenye zawadi hiyo ya gari, kijasho chembamba kilimtoka DIAMOND
Baada ya kulitesti gari hilo lenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 90, wawili hao walirejea ukumbini kwa staili ileile ya Diamond kuhangaishwa na gauni hilo hadi walipoketi meza kuu na kuendelea na ratiba.
NI ‘KAMZIZI’?
Kwa mujibu wa watu wapenda ‘ubuyu’ waliokuwemo ukumbini humo walisikika wakisema si bure, Diamond kuhangaika na Wema kiasi hicho hivyo huenda kawekewa ‘kamzizi’.
“Mimi nakwambia hata kama ni kumpenda kiasi gani lakini hii ni zaidi ya mahaba niue au kawekewa kamzizi, si bure kwa wanaume wa kizazi hiki kukea kiasi hiki,” alisikika mmoja wa wanawake waliokuwa wakimuonea wivu Wema na kumpa pole Diamond kwa kuhenya.
|
0 Comments