![]() |
Mapigano makali ya kurushiana risasi yanaendelea KATI
Mapigano hayo yamearifiwa kutokea katika mpaka wa Kabone kwenye mpaka wa Syria na Uturuki nchini Syria.
Maelfu ya raia wa Kikurd wameyahama makazi yao wakihofia mapigano hay hayo.
Mwandishi wa BBC katika eneo hilo amesema milio ya milipuko na risasi ncdivyo vinavyosikika katika maeneo hayo.
Makundi ya wanaharakati kutoka nchini Uingereza waliopo Syria wanasema mwanamke mmoja wa Kikurd amefanya shambulizi la kujitoa muhanga
|
0 Comments