![]() |
| Mashabiki na wapenzi wa timu ya Yanga wakiendelea kuangalia mpira kwa makini hapo jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Timu hizo zilitoka sare hapo jana. |
![]() |
| Mmoja wa wachezaju wa Simba akijaribu kuwadhibiti wachezaji wa timu ya Yanga hapo jana katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam |
![]() |
| Mchezajiwa timu ya Dar es Salaam Young African akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Simba hapo jana. |



0 Comments