Jioni hii mtaa wa Jamhuri foleni kubwa ya magari ikiwa imeshamiri huku abiria wanaorudi makwao wakiwa wamejazana kwenye daladala.Ufinyu wa barabara na miundo mbinu ndio chanzo cha msongamano wa magari kwa jiji la Dar es Salaam.[picha na J.M. wa Maganga One Dar]