WAHITIMU wa fani
mbalimbali katika mahafali ya 12 ya Chuo kikuu cha Zanzibar (ZU),wakiwa kwenye
gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya kuwatunuku shahada mbalimbali huko katika
viwanja vya chuo hicho Tunguu jana.
![]() |
BAADHI ya wazee wa wanafunzi wa Chuo kikuu Zanzibar (ZU) wakiwa katika uwanja wa mahafali ya 12 wakihudhuria mahafali hayo yaliyofanyika huko Tunguu. |
![]() |
BAADHI ya wazazi wa wanafunzi wa Chuo kikuu Zanzibar (ZU) wakiwa katika uwanja wa mahafali ya 12 wakihudhuria mahafali hayo yaliyofanyika huko Tunguu. |
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mh.Pandu Ameir Kificho (kushoto),akiwa na baadhi ya
uongozi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar wakati wa mahafali ya 12 yaliyofanyika chuoni
huko, wapili kushoto Makamu Mkuu wa chuo hicho Pr.Mustafa Roshash. Picha zote na Abdallah
Masangu
0 Comments