kuzindua huduma za maji kwa wakazi wa kijiji cha Mpigamiti, mradi huo
utahudumia vijiji vingine viwili vya Namakololo na Mitawa ambapo wakazi zaidi ya 6000 watafaidika na mradi huo.
![]() |
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Bi.Hadija Sheweji mkazi wa kijiji cha Mpigamiti mara baada ya kukagua mradi wa maji. |
![]() |
Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM kata ya Mangirikiti wilayani Liwale mkoa wa Lindi. |
0 Comments