Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni aka "watoto wa mbwa" au viumbe wa ajabu "Anunaki anunnaki aliens" yenye makao nchini Ujerumani,
inatoa Salam za heri ya mwaka mpya 2015 kwa wadau wote popote pale
mlipo,mwaka mpya 2015 uwe wa mafanikio ,Amani na Upendo kwa wote.
HAPPY NEW YEAR 2015 ! HAPPY NEW YEAR 2015 ! 
msikose burudani kamili bofya  www.ngoma-africa.com auhttp://www.ngoma-africa.com