Gari la kusafisha jiji ambalo liliharibika mapema leo hii na kusababisha tafrani barabarani kwa uchafu uliosambaa na kusababisha waendeshao magari na watembea kwa miguu kupata wakati mgumu.tukio hili limetokea Gongo la Mboto mwisho wa Lami.
Pichani uchafu uliosambaa baada ya gari la taka kuharibika na kusababisha hali hii kutokea katika maeneo ya Gongo la Mboto mwisho wa Lami.Namba za gari hazikuweza kupatikana kirahisi kutokana na uchakavu wa gari hilo.[Picha na J.M, wa Maganga One Dar es Salaam].
.jpg)
.jpg)
0 Comments