Shekh Hassan [kulia] akiwa na Shekh Habib mchana wa leo katika dua ya kuwaombea marehemu baba wa mwenzetu na ndugu yetu Matanda
 Wakati mawaidha yakitolewa baadhi ya waumini pichani wakisikiliza kwa makini nini kinazungumzwa.
 Mada mbalimbali za ukumbusho wa mambo ya dini yalizungumziwa katika hotuba zilizokuwa zikitolewa na mashekh wetu mchana wa leo
 Kwa umakini zaidi watu walikuwa wakisiliza nini kinazungumzwa
 Kwa upande wa kina mama wengi walishiriki vyema katika dua ya leo

 Shekh Habib akitoa mawaidha siku ya leo

 Mashallah kina mama nao walikuwa makini kusikiliza nini kilikuwa kikizungumwa

 Shekh Ahmed akiwa ametulia mara tu baada ya kutufungulia kisomo cha leo kwa Quran tukufu


Kipindi cha sadak kilipowadia kila mmoja alipata chochote kitu

Shekh Ahmed akifungua kisomo cha leo kwa kusoma Quran tukufu

Shukrani kwa kila mmoja aliyeshiriki kwa namna yoyote na kuweza kufanikisha kisomo hiki kuisha salama,Allah awajaalie wote.

Shekh Yusuf ambaye alihakikisha shughuli zote zinazohusiana na sauti kwenye shughuli ya leo zinakwenda sawa,picha akiinua mikono yake kuwaombea dua marehemu