Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi, akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, sheria namba 18 ya mwaka 2004 ya kuwaenzi waasisi wa Taifa

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi nyumbani kwake Mbweni, huku wajumbe wengine wakishuhudia

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mjumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Mama Fatma Karume nyumbani kwake Mbweni

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, nyumbani kwake Mbweni. (Picha na Salmin Said, OMKR)