Zari the Bosslady yupo nchini alikokuja kumsalimia mpenzi wake, Diamond
Platnumz. Hivi karibu kulianza kuzuka maneno kutoka kwa baadhi ya watu kuwa wana mashaka
na kama kweli mrembo huyo wa Uganda ni mjamzito. Lakini kwa mujibu wa picha iliyosambaa
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirbyr0ycUeZH1CagvXF3SbWKU4L8WzOdaS6KlEkV_h7tWcqsxRNrflzhBHsyd35j_WshcE9dpDfX9UNVD5ZKXiZnt6MdUukF0fJ3pqWOfonK94Fs4PJ0WTa9ukeYWM7UPpNsAB5xnC6A91/s640/zarit-714368.jpg)
Instagram na kuwataka mashabiki wake wamtaje baba wa mtoto huyo
0 Comments