![]() |
MKUTANO MAALUM WA WADAU WA FILAMU ZA MAADILI
WASANII,WATAYARISHAJI, WASAMBAZI,WATAMAZAJI NA WAANDISHI
WOTE MNAKARIBISHWA
Asalaam Alaaikum Warhmatullah Wabarakatuhu
Tunapenda kuwajulisha wadau wa maadili movies nchini kutakuwa na mkutano wa mkubwa utakaofanyika tarehe 31 Mai 2015 kuanzia saa 2.00 asubuhi ukumbi wa Jaffar Complex uliopo Mnazi mmoja jijini Dar es salaam
AGENDA ZA MKUTANO
Kuandaa daftar la orodha ya wasanii na kuchagua rasmi aina ya mfumo wa filamu zetu na mengineyo
Kuchagua uongozi wa wa muda uliona mpangilio rasmi na kuupa majukumu likiwepo la
Tunapenda kuaalika waandishi wa habari watunzi waongozaji wasambazaji na hata watazamaji wa filamu za maadili wasanii wote nchini tunawaalika ila stara ya mavazi kwa wanawake izingatie muhimu kwa wanawake
"Maadili Movies Lengo ni kusimamia ulinzi wa maadili mema kupitia filamu za Kitanzania, kuazisha, kuendeleza na kuhamsisha uwepo na ukuwaji wa filamu zenye heshima, zinazozingatia maneno, matendo na mavazi yenye maadili."
Tuwe pamoja wana
Kwa mawasiliano ya simu kwa wale watakaoshiriki kutoka nchi tofauti tofauti pamoja na nchini ,Tafadhali tuwasiliane kwa simu kwa namba zifutazo:
|
0 Comments