 |
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda yeye Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015. |
 |
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo walipokwenda yeye na Rais Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015. |
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete
wakimfariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia
jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo
March 1, 2015.
0 Comments