Waziri wa Uchukuzi,Mhe. Samuel Sitta akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Agness Kijazi kabla ya kuanza kwa mkutano na wanahabari,wakati akizungumzia maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani ambayo hufanyika kila ifikapo Machi 23 kila mwaka.

Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta akizyngumza na wanahabari (hawapo pichani) kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani yanayofanyika kila ifikapo Machi 23 ya kila mwaka, yenye kauli mbiu isemayo 'Uelewa wa hali ya hewa kwa maamuzi stahiki'. Pembeni yake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Agness Kijazi.