| Zarina Hassan akiwa na Nasibu Abdul ambapo jana Msanii Nasibu Abdul aliweka kwenye page yake ya instagram na kuweka maneno ya kimafumbo ambayo yalisomeka kama ifuatavyo**Wakati mwingine usiri una baraka zaidi**hakutaka kufafanua zaidi ila kila mwenye akili atatambua nini alikuwa akiamanisha msanii huyu wa mziki wa bongoflava.
|
0 Comments