Habari za leo wapenzi na wasomaji wangu wa Maganga One Blog.Ni furaha kubwa kuwa nanyi kila dakika katika kurasa ya Maganga One Blog ili kupata nini kinachoendelea duniani kote.leo ni sikukuu yangu ya kuzaliwa,nachukua mapumziko mafupi ya kuwahabarisha ili nipate nafasi ya kula keki,nyama choma na kuzima mishumaa mingi sana.tutaonana kesho Mungu akipenda. |
0 Comments