Pichani wachezaji wa timu mbili zilizokuwa zikichuana leo hii kati ya Arsenal na Liverpool wakiwania mpira katika ligi kuu nchi uingereza,leo hii Arsenaal imeibuka kidedea baada ya kuichapa Liverpool kwa jumla ya goli 4-1

Wachezaji wa Arsenal wakishangilia ushindi dhidi ya Liverpool leo hii.Liverpool leo imeshindwa kuonyesha kucha zake kwa Arsenal baada ya kukubali kichapo cha goli 4-1