Mfanyabiashara Abdallah Chadido kulia akifanya mazungumzo alipokutana na Maganga One Blogger hivi karibuni nchini Ubelgiji,bwana Abdallah Chadido yupo nchini Ubelgiji kwa mapumziko mafupi.
 |
| Pichani Maganga One Blogger akimuonyesha baadhi ya vitu ambayo huwa anavifanya live kupitia simu yake ya mkononi katika kurusha habari zake.ndugu Abdallah Chadido ni mfanyabiashara maarufu nchini Uingereza kwa uuzaji wa jezi za vilabu vikubwa duniani.Kwa yoyote mwenye kuhitaji jezi ya timu yoyote maarufu duniani anaweza kuwasiliana nae kwa njia ya simu au email. |
 |
Maganga One kushoto akiendeleza mazungumzo na ndugu Abdallah Chadido walipokutana.bwana Abdallah Chadido yupo nchini Ubelgiji kwa mapumziko mafupi,unaweza kuweka Order yako kwa njia ya simu kupitia nambari +447 773 287 116
Jezi ya Arsenal
Jezi ya Chelsea
Jezi ya Manchester United
|
Jezi ya Fc Barcelona
Jinsi ya kuinunua na kuipata Jezi yako hapo ulipo tafadhali husisite kuwasiliana na ndugu Abdallah Chadido moja kwa moja kwa njia ya simu +447 735 287 116
0 Comments