Kwa mara nyingine tena msanii mkali wa kike East Africa na Africa kwa ujumla Shilole ama kwa umaarufu zaidi Shishi Baby anarudi tena Ubelgiji kufanya show,akisindikizwa na msanii mwenzake ama mpenzi wake Nuh Mziwanda watafanya show ya aina yake katika mji wa Antwerpen kitongoji cha Beveren.Njoo ushuhudie show hii ya kihistoria Shilole akiwa jukwaa moja na Nuh Mziwanda.
Wapi,lini,saa ngapi angalia tangazo hapo juu. |
0 Comments