Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Bandari nchini (TPA),Bw. Awadh Massawe (mwenye koti la bluu kushoto) akiongoza kikao cha wadau wa mamalaka hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Pamoja na kujenga mahusiano ya karibu na wadau wa bandari, vikao hivyo vinalenga kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili bandari hiyo na kuifanya kuwa shindani katika eneo hili la Afrika |
0 Comments