Staa mrembo kutoka Bongo Movies. Wema Sepetu ambaye anatajwa kama ni moja ya watu wenye ushawishi mkubwa mtandaoni kwa hapa Bongo, ni moja kati ya watu wanaowania tuzo kwenye TUZO ZA WATU 2015  katika kipengele cha Muigizaji wa kike anaependwa na watu.
Hii ni nafasi kwa wewe unaemkubali na kumfagilia Wema kuonyesha kuwa mpo wengi kwa kumpigia kura za kutosha kumuwezesha kuibuka mshindi wa tuzo hiyo.
Jinsi ya kumpigia kumpigia kula, Tuma neno TUZO kwenda15678 utapokea uujumbe unaoainisha vipengele vyote vya tuzo za watu’ utahitajika kutuma CODE ya kipengele pamoja na jina la unayempendekeza katika kipengele husika...kwa wema tuma TZW8 WEMA ABRAHAM SEPETU.